Teknologia ya Hawk Eye Spy ni teknologia inayotumia camera ya kisasa katika kumonita vitu.
Hawk Eye Spy Cam hugharimu £250,000.00 (Tsh. 686,500,170.00) na huweza kumuarifu refa mpira unavuka mstari wa chaki ya goli, hivyo kuondoa utata iwapo refa na wasaidizi wake hawana uhakika wa hili. Goli la 100 la msimu huu lililofungwa na mshambuliaji Edin Dzeko lilitolewa kwa taarifa ya Hawk Eye Spy Cam kwa vile refa na wasaidizi wake hawakuona kama mpira ulivuja chaki. Hawk Eye Spy Cam inatumika na klabu zote za ligi kuu ya Uingereza kwa sasa.
0 comments:
Chapisha Maoni