Jiunge kupata chapisho jipya kwa barua pepe!

jua'hatutumi spam!.

Jumanne, 11 Juni 2013

TEKNOLOGIA YA 4G (4G TECHNOLOGY)

TEKNOLOGIA YA 4G  (4G TECHNOLOGY)

Tukiongelea 4G, tunaongelea muendelezo wa teknologia ya 3G. 4G ni kifupisho cha Fourth Generation, yaani ni teknologia ya kizazi cha nne cha mawasiliano ya selula. Ni teknologia yenye bandwidth kubwa zaidi, yaani kasi kubwa na huduma nyingi za kimtandao kuliko 3G. kwa kuwa ni teknologia mpya, kwa muda huu, ni nadra kupata maelezo ya kutosha kuhusu teknologia hii. Bado teknologia hii haijaingia nchini Tanzania! soma pia 4G WIKIPIDIA


      

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Chapisha Maoni